Wednesday, 22 December 2010

UFUGAJI KUKU PERAMIHO

 Mwandishi wa Habari wa kujitemea na Mmiliki wa blog hii Bw. Friday Simbaya  mwenye shati la draft akipata maelekezo kutoka kwa Mhudumu Bw. Komba namna ya ufugaji wa kisasa wa kuku wa mayai na wanyama katika Kitengo cha Ufugaji Kuku kilichopo Abasia ya Peramiho Songea Vijijini mkoani Ruvuma leo. Alisema kuwa wa kuku zaidi ya 3,000  hutaga mayai tray 100  kila siku. Bw. Komba alisema kuwa kuna aina tatu ya kuku ambapo ni Bovan Brown, Bovan White na Hisex  kutoka Mozambique na Malawi.

Mwandishi wa Habari akimshika kuku aina ya Bovan Brown kwa kuangalia ubora wake na jinsi alivyotunzwa vizuri.

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...