
wakazi wa
kata ya mwangata manispaa ya iringa wajikusanya kushuhudia ajali ya
pikipiki na pikipiki kugongana uso kwa uso eneo la stendi ya kidamali
mwangata iliyotokea jioni hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...