Wednesday, 9 September 2015

WARSHA KUHUSU HAKI ZA WANAWAKE KATIKA KUMILIKI ARDHI TANZANIA


Wawezeshaji kutoka Shirika la Land O' Lakes na wanasheria kutoka chama cha wanasheria wanawake (Tanzania Women Lawyers Association- TAWLA) 

Mwezeshaji kutoka chama cha wanasheria wanawake (Tanzania Women Lawyers Association- TAWLA) Latifa Ayubu akitoa mada kuhusu hali halisi ya haki za wanawake Tanzania katika mafunzo ya haki za wanawake katika kumiliki ardhi yanayofanyika Mafinga, wilayani Mufindi, mkoa wa Iringa. 

Afisa Kilimo Msaidizi wa Wilaya ya Mufindi, Tinara Nyato akifungua warsha kuhusu haki za wanawake katika kumiliki ardhi yanayofanyika mjini Mafinga, wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa. 

Mratibu mkazi wa Shirika la Land O'Lakes wilayani  Mufindi, Daudi Msese (kulia) akitoa maelezo ya awali juu ya warsha hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi. 

Moja ya ukurasa wa mada iliyowasilishwa na mwezeshaji Latifa Ayubu kutoka TAWLA.
Baadhi yawashiriki wa warsha hiyo wakifuatilia kwa ukaribu mafunzo hayo


Mmoja ya washiriki wa warsha hiyo Alfred Chakwe kutoka Wilaya ya Iringa, akichangia mada ya hali halisi ya haki za wanawake Tanzania katika mafunzo ya haki za wanawake katika kumiliki ardhi. (Picha zote na  FRIDAY SIMBAYA)

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...