Mashabiki na wapenzi wa timu ya Simba SC ya Dar es Salaam wakiizunguka basi la timu ya Simba ililobeba wachezaji wa timu, ambao walikuwemo Okwi baada ya kumalizika kwa mechi ya kirafiki. Katika mchezo huo Simba ya iliibuka na ushindi wa goli 1-0 jana. Timu hiyo ipo mkoani Iringa ikiendelea na maandalizi ya mechi ya dhidi ya Mtibwa Sugar mkoani Morogoro Jumamosi hii. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
By Friday Simbaya, Iringa
SIMBA Coach, Patrick Phiri said he has received the death of President Michael Chilufya Sata with a great shock and at the moment the nation is at the big lose.
Phiri said that when he left Zambia the president was in a good health and adding that his nation has lost a good man.