Monday, 9 March 2015

MBUNGE AHIDI KUTOA MAJI YA KUNYWA MJI MZIMA KWA WANANCHI WAKAYEJITOKEZA KUJIANDKISHA...!


Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini Mch. Peter Msigwa (Chadema) hayupo pichani akihutubia wakazi wa Kihesa jana katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya kihesa sokoni. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)



Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini Mch. Peter Msigwa (Chadema) ameahidi kutoa maji  ya kunywa mji mzima kwa wananchi endapo litatokea jua kali  wakati wa kujiandikisha katika daftari la mpigakura litakapofika Manispaa ya Iringa.

Alisema kuwa ofisi ya mbunge ipo tayari kutoa  maji ya kunywa kwa mji mzima kwa wananchi watakaojitokeza kujiandikisha katika daftari la mpigakura wakiwa katika foleni , wakati wakujiandikisha pindi daftari litakapo wasili Manispaa ya Iringa.

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...