 |
Watumishi mbalimbali wa mkoa wa iringa wakijipanga katika mstari kumlaki mkuu wa mkoa mpya wa Iringa Amina Juma Masenza katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa mkoa hivi karibuni akitokea wilaya ya ilemela. |
Mkuu wa mkoa mpya wa Iringa Amina Juma Masenza akisalimia na katibu tawala msaisizi sehemu ya uchumi, Adam Swai baada ya kuwasili katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa mkoa hivi karibuni akitokea wilaya ya ilemela kuanza rasmi majumu. Amina Masenza amechukuwa nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa Dkt. Christine Ishengoma ambaye anasubiri kupangiwa majumu mengine na Rais Prof. Jakaya Kikwete.
Mkuu wa mkoa mpya wa Iringa Amina Juma Masenza akitamani zawadi ya kalamu ya wino baada ya kukabidhiwa na katibu tawala wa mkoa wa Iringa, Ayubu Wamoja (katikati).