Mwenyekiti ya Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC), Bw. Kenneth Simbaya (katikati) akiongea na wajumbe walifika katika mkutano mkuu wa dharula ambapo pamoja na mambo mengine walitoa taarifa ya mapato kwa kipindi cha miaka miwili (2008/2009 na 2009/2010 hadi 2010) ya IPC uliyofanyika Jumamosi. Kushoto ni Mweka Hazina wa IPC Bw. Selemani Bokhe and kulia ni Katibu Mtendaji wa Klabu hiyo Bw. Frank Leonard.
Baadha ya wanachama waliohudhulia mkutano wa dharula wakifuatilia mkutano kwa makini.
Pamlomo24 is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.
Saturday, 23 October 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)
Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects
IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...

-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Peter Mbata's the Deputy Headmaster and Amon Chota (academic master). Headmaster of Ifunda Technical School, Mpambwe Paul ...
-
Iringa. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameomba wananchi wa kata ya Lyamgungwe, Wilaya ya Iringa, kum...