Sunday, 27 November 2011

MAHAFALI YA 13 YA TALENT CHEKECHEA-PERAMIHO

Kris Simbaya na rafiki zake Lisa Mlowezi  na Laurence Fusi siku yao ya mahafali  yaliyofanyika tarehe 24.11.2011, jumla ya wanafunzi waliohitimu, wakiwemo 12 watakaoanza shule ya msingi na sita awali, baada yakumaliza elimu ya chekechea.




Kris (kushoto) na Lisa na Lau

Kris Simbaya akivishwa mataji na mama yake.



Walimu wa Talent Chekechea, Oifemia Mkua na Maua Lwambano wakitambulishwa na mlezi mkuu wa shule hiyo hayupo pichani kwa wazazi na walezi wa watoto siku ya mahafali.

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...