Sunday, 7 April 2013

HONGERA NATASHA KWA KUTIMIZA MIEZI 9!


Mtoto Natasha  Simbaya akisherekea miezi tisa ya kuzaliwa hivi karibuni, hongera!

OPEN AIR SALOON AVAILABLE IN SONGEA

Mkazi mmoja wa Mtaa wa Yerusalemu Kata ya Peramiho, Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, aliyefahamika kwa jina la mama Brai akimnyoa mtoto wake wa kiume mtindo wa kiduku nyumbani anayesoma darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya Peramiho A baada ya likizo fupi ya Pasaka kumalizikia jana.


Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...