Monday, 16 May 2016

WANANCHI WAFUNGA BARABARA MKOANI MWANZA BAADA YA MTOTO KUGONGWA NA GARI




Wananchi na Wakazi wa Kata ya Kisesa, Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza, mapema leo wamefunga barabara ya Mwanza-Musoma katika eneo la Kisesa na hivyo kusababisha abiria wanaoingia Jijini Mwanza kutoka Mikoani kukwama barabarani kwa zaidi ya saa moja.


KIKAO CHA MREJESHO WA SAFARI YA MAFUNZO (SOCIAL LEARNING)




Mratibu wa miradi ya maji na mabadiliko wa WWF-TZ, Keven Robert akielezea lengo la kikao cha mrejesho wa safari ya mafunzo nchini afrika ya kusini leo mjini Mafinga, mkoani Iringa.

#Objection: The learning journey aimed at visiting various areas in South Africa and learn how social learning approach has  been practiced and its achievements.









Martha

Makfura


Mbarali District Forest Officer, Patrick Charles expressing his views during social learning workshop over collaborative initiatives on water resource management.







Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...