Saturday, 20 December 2014

Kikao cha wadau wa ulinzi kwa Mikoa ya nyanda za juu kusini kilichoandaliwa na Mradi wa SPANEST



Kamanda wa Polisi mkoani Iringa Ramadhan Mungi akifungua kikao cha wadau wa ulinzi kwa Mikoa ya nyanda za juu kusini kilichoandaliwa na Mradi wa kuboresha mtandao wa maeneo yaliyohifadhiwa kusini mwa Tanzania SPANEST leo mkoani Iringa.
Lengo ni kuzungumzia swala la kupambana na ujangili , na kuweka mikakati ya pamoja kuhusu swala zima la Uhifadhi wa wanyamapori



Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...