Friday, 10 March 2017

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA USALAMA NA MAADILI



Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, alipowasili kuendesha kikao cha Usalama na Maadili, kilichofanyika leo Chamwino, Dodoma. Katikati ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan. 


Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, alipowasili kuendesha kikao cha Usalama na Maadili, kilichofanyika leo Chamwino, Dodoma. 


Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akizungumzana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, alipowasili kuendesha kikao cha Usalama na Maadili, kilichofanyika leo Chamwino, Dodoma. Kulia ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi. 


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa maelezo ya ufunguzi wa kikao hicho 


Dk. Magufuli akiendesha kikao hicho 



Dk. Magufuli, Dk. Sheini na Makamu Mwenyekiti waCCM -Bara, Philip Mangula wakifurahia jambo wakati wa kikao hicho 



MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI


Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...