Pamlomo24 is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.
Wednesday, 15 September 2010
ABASI MTEMVU
Bw. Abasi Zuberi Mtemvu Mgombea Mbunge katika Jimbo la Temeke kupitia tiketi ya CCM (mwenye mkono juu na vazi ya kijani la CCM katikati) akilakiwa na wanacchama na wananchi katika Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi 2010 uliyofanuika Kata ya Azimio jijini Dar es Salaam.
MWANDISHI AVAA KHANGA YA CCM NA BAADAYE KUPANDA GARI LA MATANGAZO YA CHAMA HICHO NA KUTOKOMEA NALO----HABARI NDIYO HIYO!
Mwandishi wa habari ambaye akufahamika jina lake mara moja amekutwa akiwa amevaa Khanga ya Chama Cha Mapindizi (CCM) katika Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2010 uliyokuwa unahutubiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Temeke, Bw. Abasi Zuberi Mtemvu leo. Mkutano huo ulifanyika katika Uwanja wa MjiMpya-Tawi la Kichangani (CCM) Kata ya Azimio Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects
IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...

-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Peter Mbata's the Deputy Headmaster and Amon Chota (academic master). Headmaster of Ifunda Technical School, Mpambwe Paul ...
-
Iringa. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameomba wananchi wa kata ya Lyamgungwe, Wilaya ya Iringa, kum...