Tuesday, 21 July 2015

WATIA NIA WAKIJINADI KWA WANACHAMA KATA YA KIHESA

Dkt. Yahaya Msigwa akijinadi kwa wanachama la shule ya msingi kihesa katika jimbo la iringa mjini leo.


Frederick Mwakalebela akijinadi kwa wanachama la shule ya msingi kihesa katika jimbo la iringa mjini leo.

Addo November Mwaisongwe akijinadi kwa wanachama la shule ya msingi kihesa katika jimbo la iringa mjini leo.

Balozi mstaafu Augustine Philip Mahiga akijinadi kwa wanachama la shule ya msingi kihesa katika jimbo la iringa mjini leo.


Jesca Msambatangu akijinadi kwa wanachama la shule ya msingi kihesa katika jimbo la iringa mjini leo.

FALES KIBASA

Mgombea ubunge Iringa Mjini kupitia CCM, Peter Mwanilwa


WANACHAMA 13 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaotaka ubunge katika jimbo la Iringa Mjini wanaendelea kujinadi kwa wanachama wa chama hicho katika matawi 81 kwa kushindanisha mikakati yao ya kulikomboa jimbo hilo na kuwaletea wananchi wake maendeleo.


Kwa miaka mitano iliyopita jimbo hilo limeongozwa na Mchungaji Peter Msigwa aliyechaguliwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).


Mbali na kuwashirikisha wanachama wake wote, kampeni hizo ambazo tayari zimefanyika katika matawi ya kata za Nduli na Kihesa na leo Mkwawa zimewavutia pia wafuasi wa baadhi ya wagombea hao.

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...