Tuesday, 26 May 2015

katibu wa UVCCM mkoa wa Iringa Elisha Mwampashi awataka vijana kujituma kuafanya kazi na kuacha kukaa vijiweni


katibu wa UVCCM mkoa wa Iringa Elisha Mwampashi wa pili 
kulia akiwa na katibu mkuu wa UVCCM Taifa Bw Sixtus Mapunda
na fredy mgunda,iringa

Akizungumza na mtandao huu katibu wa uvccm mkoa wa iringa ELISHA MWAMPASHE alisema kuwa vijana wengi wamekuwa wakibweteka kwa kutojituma kufanya kazi na kuendelea kuilaumu serikali.

“Eti asubuhi unawakuta vijana wamekaa kwenye vijiwe wakizungumza siasa na kucheza mabao wakati hawajui mchana watakula wapi na jioni watarudi na nini nyumbani”alisema ELISHA MWAMPASHE

MAGAZETI LEO JUMANNE

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...