Thursday, 12 February 2015

DC MUFINDI APANDISHWA KIZIMBANI


TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo Februari 12, inampandisha kizimbani Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Evalista Kalulu kwa tuhuma za matumizi mabaya ya Sh Milioni 3, fedha za umma.

Pamoja na mkuu huyo wa wilaya wapo watumishi wengine wanne wa halmashauri ya wilaya ya Mufindi akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wake wa halmashauri, Limbakisye Shimwela.

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI AMKIMBIA MBUNGE CHIKU ABWAO




Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema CHIKU ABWAO akikagua jengo lilokumbwa na ajali ya moto















Mbunge CHIKU ABWAO akiwa katika eneo la nje ya jengo liloungua 






Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema CHIKU ABWAO alisikitiswa na uongozi wa shule ya sekondari ya idodi kushindwa kumpokea kama mbunge na mama aliyeguswa na ajali ya moto katika shule kwa kuwa alikuwa ameshatoa taarifa kabla hajaenda katika shule hiyo. 

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...