Friday, 25 February 2011

MITIHANI YAVUJA

Mitihani yavuja RUCO. Ni mitihani ya mwisho wa semista maarufu kama UE (University Examination)iliyoanza tarehe kumi na saba chuoni hapo imevuja kiasi cha kutaka kuanzisha vurugu. Kutoka kwa mwanafunzi mmoja wa chuo hiko alidai mitihani iliyovuja ni ya watu wanaosoma shahada ya elimu mwaka wa tatu tu.Na taarifa za awali zinaonesha zaidi ya mitihani mitatu sasa imevuja na imeonekana adharani kabla ya kufanyika.Watuhumiwa wanaohusika kuvijisha mitihani hawajafahamika lakin wako waadihli (DR 3,AL 2) watano ambao wanahusishwa na uvujaji huo wa mitihani hiyo.taarifa zaidi zitawajia pale tu zitapo patikana.


By Anonymous on MKWAWA UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION on 2/22/11

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...