Pamlomo24 is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.
Monday, 10 January 2011
MUHULA WA KWANZA WA MASOMO
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Peramiho 'A' Wilayani Songea, Mkoani Ruvuma wakiwa wamebeba nyenzo mbalimbali kutoka nyumbani kwa ajili ya kwenda kufanyia usafi wa mazingira shuleni kwao, ikiwa ni kuanza kwa muhula wa kwanza wa masomo jana. Wanafunzi hao wanasoma darasa la tatu, tano na la sita katika shule hiyo.
NADHIRI ZA DAIMA
Baba Abate wa Abasia ya Peramiho Benedictine, Anastasius Reiser OSB (Mwenye Kofia) akitoa Nadhiri za Daima kwa mabruda watatu katika Kanisa la Abasia Peramiho, Jimbo Kuu la Songea mkoani Ruvuma Jumamosi. Kutoka kushoto kwenda kulia ya mabruda waliyopiga magoti ni Br. Xaver Mteleke OSB kutoka Parokia ya Kasulu, Jimbo la Kigoma, Br. Ludoviko Komba OSB kutoka Parokia ya Mjimwemw, Jimbo Kuu la Songea na Br. Martin Mrope OSB Parokia ya Ndanda katika Jimbo la Mtwara.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects
IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...

-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Peter Mbata's the Deputy Headmaster and Amon Chota (academic master). Headmaster of Ifunda Technical School, Mpambwe Paul ...
-
Iringa. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameomba wananchi wa kata ya Lyamgungwe, Wilaya ya Iringa, kum...