Wednesday, 4 August 2010

MKUTANO WA CHADEMA JIJINI MBEYA

Mtoto ambaye akufahamika jina lake mara moja akiruka kutoka juu huku Mkutano ikiendele wa Mgombea urais kuptia CHADEMA, Dkt Wilbroad Slaa katika viwanja Lunada-Nzovwe jijini Mbeya jana.Umati wa watu ukifuatilia mkutano wa adhala wa CHADEMA wakati mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Dkt. Slaa kwa lenga la kuomba udhamini na ridhaa ya gombea urais Tanzania Bara jijini Mbeya jana

No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...