Thursday, 14 October 2010

BREAKING NEWS

Basi la Kampuni ya LUTE LWEDI la pinduka na kujeruhi abiria zaidi ya 20 na kukimbizwa Hospitali ya Mkoa ya Iringa kwa matibabu katika ajali iliyotokea eneo la Lundamatwe wilayani Kilolo, Mkoa wa Iringa jioni ya leo barabara kuu ya Dar es Salaam-Iringa. Basi  hilo lilikuwa linatoka Dar kwenda Tunduma wilayani Mbozi, Mkoa wa Mbeya.
 
Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Twinzi iliyopo wilayani Mbozi mkoani Mbeya Joshua Ngimio (31) na mkazi wa Mbozi akisubiri kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali na kuumia katika paji la uso katika Hospitali ya Mkoa  wa Iringa.


Baadhi abiria waliopata ajali wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa (OPD) wakisubiri matibabu baada ya kupekewa na wahudumu wa hospitali.

No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...