Mheshimiwa Rais, baada ya jana kutuzindulia mradi wa umeme wa maji pale Mawengi wilayani
Ludewa,
wa vijiji 15. Kazi ya ujenzi wa
mradi huu ilianzishwa rasmi na
Mhesh.Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuwakilishwa na Waziri wa Maji na
Umwagiliaji, Mheshimiwa Mark Mwandosya, Novemba 4, 2008. Na baada ya
kukamilika, mradi huu uliozinduliwa na Waziri Mkuu, sasa unazinduliwa rasmi kwa
matumizi ya wananchi na Mhesh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. atazindua leo mchana mradi wa maji safi na salama
ujulikanao kwa jina “TOVE-MTWANGO”. Tove ni jina la kijiji cha kwanza
unakoanzia mradi. Mtwango ni kijiji cha mwisho, ndipo hapa tulipo. Mradi huu
unawanufaisha wananchi wasiopungua 45,000.
Pamlomo24 is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects
IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...

-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Peter Mbata's the Deputy Headmaster and Amon Chota (academic master). Headmaster of Ifunda Technical School, Mpambwe Paul ...
-
Iringa. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameomba wananchi wa kata ya Lyamgungwe, Wilaya ya Iringa, kum...
No comments:
Post a Comment