Sunday, 19 October 2014

MKUTANO WA CHADEMA MLANDEGE MJINI UWANJA WATAPIKA...!



Mkutano wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA leo mjini Iringa Mlandege.
Wazungumzaji wakuu hii leo ni Prof Safari-Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Salim Mwalimu-Naibu katibu mkuu CHADEMA-Zanzibar,Dr Wilbroad Slaa-Katibu mkuu CHADEMA Taifa, Mch Peter Msigwa-Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini na Patrick Ole Sosopi-Makamu Mwenyekiti BAVICHA.

No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...