Monday, 27 October 2014

UKAWA MAKUBALIANA KUSHIRIKIANA






KATIKA mkutano huo vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) viliingia makubaliano ya ushirikiano.


Kwa kupitia makubaliano hayo vyama hivyo yaliofanyika Uwanja wa Jangwani jijini Dar es Salaam vikubaliana kusimamisha mgombe mmoja mmoja katika nafasi zote za kuchaguliwa vikianzia na uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu na baadaye Uchaguzi Mkuu wa 2015.

No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...