Saturday, 1 November 2014

BASI LA SIMBA MTOTO NA FUSO USO KWA USO


  • Fuso likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Simba Mtoto.
Basi la Simba Mtoto baada ya ajali.
Taswira kutoka eneo la ajali.
Muonekano wa fuso hilo.
BASI la Simba Mtoto lenye namba za usajili T 501 BRZ lililokuwa linasafiri kutoka mkoani Tanga kwenda Dar es Salaam limegongana uso kwa uso na fuso la Mohammed Enterprises lenye namba za usajili T 507 BAE lililokuwa likitokea jijini Dar leo.

Katika ajali hiyo, dereva wa fuso amepoteza maisha papohapo huku watu wawili ambao pia walikuwa katika fuso hilo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali.
Ajali hiyo imetokea katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani baada ya fuso kufeli breki.

No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...