MMOJA ya wakazi wa Kitongoji
cha Mpwapwa, Kijiji cha Kihanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa akinawa
mikono kwa sabuni kutoka kwenye kibuyu mchirizi. Kitongoji hicho kimefikia
hatua ya kutangazwa kuwa kitongoji kisichotupa kinyesi ovyo (Open Defecation
Free Sub- village) na kuzawadiwa vifaa vya ujenzi (bati 10 na saruji mifuko 8) vyenye
thamani ya laki tatu. Awali timu wa wataalamu toka sekretarieti ya mkoa pamoja
na timu ya wataalamu kutoka halmashauri zote katika mkoa zilifanya ziara ya
mafunzo katika maeneo mbalimbali yanayofanya vizuri katika uboreshaji wa huduma
za maji, afya na usafi wa mazingira. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Pamlomo24 is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects
IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...

-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Peter Mbata's the Deputy Headmaster and Amon Chota (academic master). Headmaster of Ifunda Technical School, Mpambwe Paul ...
-
Iringa. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameomba wananchi wa kata ya Lyamgungwe, Wilaya ya Iringa, kum...
No comments:
Post a Comment