Monday, 15 December 2014

JINSI WALIVYOSHEREHEKEA USHINDI MTAA WA IDUNDA




Wakazi wa Mtaa wa Idunda Kata ya Mtwivilla katika Jimbo la Jringa mjini akisherehekea ushindi wa  chama chao baada ya msimamizi wa uchaguzi kumtangaza mgombea  wa chadema kuwa ndio mwenyekiti wa mtaa huo wakiwa pamoja na mbunge wa jimbo hilo  Mch. Peter Msigwa saa 6 usiku baada Chadema kuambulia mitaa zaidi ya 50.jimbo la iringa lina jumla ya  mitaa 192.
 





No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...