Sunday, 28 December 2014

LIPULI FC 1 TEAM FRIEND'S RANGERS 0

 REFA pamoja na wasaidizi wake wakisindikizwa na polisi baada ya vurugu kutokea baada ya mechi kumalizika ambapo Lipuli Fc aliibuka ushindi wa bao moja lililofungwa na mshambuaji machachali Vedatus Josephat (Balloteli) katika dakika nne kipindi cha kwanza katika uwanja wa samora jana. Lipuli kwa sasa inashika nafasi ya pili katika ligi hiyo ikiongzwa na Majimaji ya Songea na Team Friends Rangers wanashika nafasi ya tatu kwa kuwa na pointi 21.

No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...