Thursday, 5 March 2015

MAKAMBAKO KUMEKUCHA TENA...!



Mkazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe ambaye hakufahamika jina lake mara moja akipita karibu na maduka yaliyofungwa kufutia mgomo wa wafanyabiashara unaoendelea mkoani hapa leo asubuhi. Majuzi tena wafanyabiashara hao walifunga maduka yao zaidi saa sita na kwenda mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili mwenzao, Maxson Sanga dhidi ya kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dkt. Rished Badi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Njombe na leo tena wamefunga maduka yao kwenda kusikiliza kesi inayomkabili mwenyekiti wa wafanyabishara nchini John Minja. (Picha na Friday Simbaya)

No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...