Tuesday, 13 October 2015

KUMBUKUMBU YA MIAKA 16 KIFO CHA MWALIMU NYERERE



Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 16 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa nchini Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu.

R.I.P BABA WA TAIFA DAIMA TUTAKUKUMBUKA, kiukwel nikisikilizaga speech za Baba wa Taifa huwa machozi yananilenga kama si kunitoka, hakika alkuwa mtu wa pekee, DUNIA nzima sijaona, MUNGU ampumzishe mahali pema peponi. (FIKRA ZA MWALIMU ZIDUMU-SIMBAYABLOG)

No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...