Wednesday, 14 October 2015

MKUTANO WA CHADEMA KATA YA MLANDEGE


Mchungaji Peter Msigwa akihutubia wananchi kata ya Mlandege katika jimbo la iringa mjini juzi.

Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Iringa mjini, Frank Nyalusi ambaye pia ni mgombea udiwani katika Kata ya Mivinjeni akihutubia wananchi wa Kata ya Mlandege katika Jimbo la Iringa mjini juzi.


Kampeni meneja wa mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini David Butinini (mwenye T-shirt ya pundamilia) akimtambulisha  mgombea wa Kata ya Mlandege Mwl. Richard Mfune katika mkutano wa hadhara uliofanyika juzi. 



No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...