Wednesday, 8 March 2017

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MANISPAA YA IRINGA YAFANA










Mgeni Rasmi Katibu tawala wa wilaya ya Iringa, Joseph Chintika (mwenye suti ya bluu) akipokea maandamano ya wanawake kutoka manispaa ya Iringa walipokuwa wakiwasili katika viwanja vya Mwembetogwa jana katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, manispaa ya Iringa, mkoani Iringa. Kulia kwake ni Meya wa Manispaa ya Iringa Alex Kimbe, kaimu mkurengenzi wa manispaa ya Iringa Charles Lawiso na kushoto ni Naibu meya Joseph Lyata. (Picha na Friday Simbaya)

No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...