Sunday, 26 November 2017

POLEPOLE AFUNGA KAMPENI UDIWANI KATA YA KIMALA KWA KISHINDO





Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi (CCM) taifa Hamphrey Polepole jana alifunga mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani zilizofanyika katika kijiji cha itonya kata ya kimala wilayani Kilolo, mkoani Iringa jana.

Pamoja na mambo mengine Polepole aliwausia wanaitonya na kimala kwa ujumla kwa ujumbe wakuhakikisha hawafanyi makosa katika uchaguzi mdogo wamchague mgombea wa CCM Amoni Kikoti ili wae diwani wao.

Mbali na hayo katibu wa itikadi na uenezi wa CCM taifa alifanyiwa surprise baada ya kushtukizwa kwa kumuandlia siku yake ya kuzaliwa na kwa kuandaliwa kike kikubwa na wine na kusherekia na wanakilolo kwa shirikiana na ofisi ya mkuu wa wilaya.



Leo siku ya Jumapili wanakilolo na maeneo mengine nchini wanapiga kura kuwachagua madiwani wao katika chaguzi ndogo za udiwani.

No comments:

Iringa Regional Commissioner Calls On Kilolo Leaders To Strictly Supervise Government Projects

IRINGA – The Iringa Regional Commissioner, Kheri James, has urged leaders of the Kilolo District Council—particularly those in the secondary...