Monday, 15 June 2015

23 killed and 34 other injured in road Mafinga road accident

Mufindi District Commissioner, Mboni Mhita speaking to one of the injuries of Mafinga road accident which claimed 23 lives leaving 34 others seriously injured. 



By Friday Simbaya, Mufindi
Another fatal accident has killed 23 people on the spot and leaving 34 others injured seriously, when lorry and mini bus collided head on at Kinyanambo A , Mafinga Township in Mufindi District, Iringa region yesterday.

The accident involved a mini bus with registration number T 927 CEF Mitsubishi Fuso belonging to Another G and a truck with registration numbers T916 AQM/T965 BEH Scania of Bravo Logistic (T) company collided head on along Iringa-Mbeya Road.
Driver of lorry carrying copper from Zambia heading to Dar es Salaam died on the spot but the driver from the minibus coming from Iringa Town survived but disappeared in the thin air after the accident.

The accident occurred yesterday at Kinyanambo area at around 19:00 hrs nightfall. The bodies are preserved at Mufindi District hospital Mortuary and injuries also hospitalized at the same hospital for medication.


According to the medical officer in charge Dr. Boaz peter, 23 dead bodies and 34 injuries were received at the hospital. There at least nine injuries admitted in Female Surgical and Gynecological ward number two. the injuries in her as Selina Lugenge, Veronica Simba, Berth Mkoi, Maria Mbese, Anita Makwela, Racheal Mavike, Ndivako Mbilinyi and Emma Lupembe.

Other in admitted in female medical ward including Jesca Mpenge, Mara Ngulo damian according the ward nurse in charge Catherine Fute. 

Watu 23 wapoteza maisha na wengine 34 wamejeruhiwa katika ajali ya bus Mafinga

Mkuu wa Wilaya wa Mufindi Mboni Mhita akimjulia hali mmoja wa majeruhi wa ajali katika hospitali ya wilaya ya mufindi mjini mafinga. 





Ndugu na jamaa wajitokeza katika mochwari ya mafinga kutambua miili ya ndugu zao waliokufa katika ajali


Watu 23 wamepoteza maisha na wengine 34 wamejeruhiwa katika ajali ya bus iliyotokea jana usiku katika eneo la kinyanambo A wilayani Mufindi barabara kuu ya Iringa –Mbeya.

Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Pudenciana Protas alisema kuwa ajali hiyo ilitokea jana majira ya 19:45 usiku katika eneo la kinyanambo wilayani hapo.

UN YAISIFU TANZANIA KUWA MSTARI WA MBELE KUTETEA ALBINO



Baadhi ya watu wenye ulemavu wakipita na mabango yenye ujumbe katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha kwa maandamano kwenye maadhimisho ya Siku yao ambayo inalenga kutoa elimu ya kupinga matendo maovu wanayofanyiwa na watu wenye nia mbaya.(Picha na modewjiblog)

Na Mwandishi wetu, Arusha

MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mkurugenzi wa Shirika la Mpango wa maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodgriguez amepongeza Tanzania kwa kuwa mstari wa mbele kushawishi dunia siku ya kukumbuka watu wenye ulemavu wa ngozi duniani.

Alisema dhana ya Juni 13 ilianzia Tanzania kwa mshikamano kati ya serikali ya Tanzania na mashirika yasiyo ya kiserikali kama Shirika la Under the same sun (TAS).

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...