Monday, 29 September 2014

Magazeti Leo Jumatatu


1_efde9.jpg
2_cf0c3.jpg
03_e9cde.jpg
3_bc059.jpg
4_5efdb.jpg

HOFU YATANDA ZIMBABWE: ROBERT MUGABE ADAIWA KUTAKA KUMRITHISHA MKEWE MADARAKA

Hofu ya wananchi ni kwamba huenda Mugabe akamrithisha mkewe mamlaka
Kuzaliwa kwa utawala wa kinasaba sio jambo jepesi kubashiri.
Lakini wananchi wengi wa Zimbabwe kwa sasa wanaonekana kushawishika kuwa kuna uwezekano wa familia ya Mugabe kuingia katika orodha hiyo ya kurithishana madaraka.

TUTAFIKA TU

Haijalishi safari yetu ni ya miguu ama tutatumia bodaboda yaweza kuwa hata gari. Lakini tunapokwenda Tutafika tu Kijiji cha Itimbo, Kata ya Ihimbo, Iringa vijijini (Mathias Canal)

Wafanyakazi wa Barabara Njia panda Kalenga walia hali ngumu ya maisha…!




 
Mlinzi wa kampuni hiyo (wa pili kutoka kulia) ambaye hakutaka kutaja jina lake akiongea na waandishi hivi karibuni ambapo alisema kuwa kampuni hiyo ina jumla ya walinzi watatu, lakini wana miezi miwili na siku 20 bila malipo.


 Mpishi Mkuu wa Kampuni ya ujenzi ya Canopies International, Agape Mgongola akiendelea na kazi yakuwapikia wafanyakazi wa kampuni hiyo bila malipo kwa miezi minne sasa. 

Na MARTHIAS KANALI, Iringa
Wakazi wa Kitongoji cha Msosa mkoani Iringa wameilalamikia kampuni ya Canopies International (T) Ltd kutoka Mwananyamala jijini Dar es Salaam ambayo inajishugulisha na ujenzi wa barabara kutoka njia panda ya Kalenga kuelekea Tosamaganga kutokana na kushindwa kuwalipa fedha zao takribani miezi minne sasa.

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...