Wednesday, 15 July 2015

NATOSHA KUVAA VIATU VYA UBUNGE WA DEWJI SINGIDA MJINI- HASAN MAZALA



Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Manispaa ya Singida, Hasan Mazala akionesha vijana fomu yake ya kuwania ubunge Jimbo la Singida Mjini jana kwenye ukumbi wa mikutano wa CCM Mkoani Singida.


Mazala akiwaasa vijana kufanya kazi kwa nguvu katika jimbo hilo.


Mkinipa nafasi ya kuwatumikia mambo yatanyooka namna hii.



Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Singida Mjini Hassan Philipo Mazala akisistiza jambo kwa vijana waliomsindikiza kuchukua fomu.



Baadhi ya vijana wakiwa katika picha ya pamoja na Hassan Mazala nje ya jengo la makao makuu ya CCM Mkoa wa singida mara baada ya kuchukua fomu.(PICHA ZOTE NA HILLARY SHOO).

Na Hillary Shoo, SINGIDA

MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa (MNEC) Manispaa ya Singida,Hassan Mazala amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Singida Mjini ..

THE NORWEGIAN EMBASSY GRANTS UN TANZANIA 3.1 MILLION US DOLLARS




Ambassador of Norway, H.E Hanne-Marie Kaarstad, (left) and UN Resident Coordinator, Mr. Alvaro Rodriguez, signing agreement of USD 3.1 million for Grants to support the UN’s Refugees response, governance initiatives, and UN Partnership Building in Zanzibar as well as on Human Rights, at the ceremony which was held at the UN offices in Dar es Salaam.

*Refugees and Governance programs among key areas of support

The Norwegian Embassy today has signed an agreement with One UN Tanzania to release USD 3.1 million (approximately 6.9 billion Tshs).The signing ceremony was held at the UN offices in Dar es Salaam between the Ambassador of Norway H.E Hanne-Marie Kaarstad and the UN Resident Coordinator Mr. Alvaro Rodriguez. The contribution will focus on providing support to the UN’s refugee response, governance initiatives, and UN partnership building in Zanzibar as well as on human rights.

Emphasizing on the Embassy support to the One UN, Ambassador of Norway H.E Hanne-Marie Kaarstad stated that Tanzania has set a good example of UN Agencies working together with coherence, efficiency and effectiveness. She added; “The UN has always been a vital and highly valued partner for Norway. The implementation of the new Sustainable Development Goals, which we hope will be adopted by the UN General Assembly in September, will require hard work. It is not business as usual and requires concerted efforts from us all. We wish to support the UN in assisting the people and the Government of United Republic of Tanzania in their effort to achieve these goals and fulfil their international obligations, including giving a voice to the most marginalised and vulnerable.”


Ambassador of Norway, H.E Hanne-Marie Kaarstad, (left) and UN Resident Coordinator, Mr. Alvaro Rodriguez, shake hands after affirming their signatures on the agreement.

MTANGAZAJI WA RADIO FREE AFRICA, WILLIAM BUNDALA ATANGAZA RASMI KUWANIA UBUNGE



Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha bibi k” katika pozi.


Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha Bibi K” akiwa amebebwa juu na wakazi wa Ushetu wakati wa mkutano wake wa kutangaza nia kuwania ubunge katika jimbo jipya la Ushetu wilayani Kahama.


Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha Bibi K” akiwa amebebwa juu na wakazi wa Ushetu wakati wa mkutano wake wa kutangaza nia kuwania ubunge katika jimbo jipya la Ushetu wilayani Kahama.


Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha bibi k” akitangaza nia kuwania ubunge katika jimbo jipya la Ushetu wilayani Kahama.


Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha Bibi K” akizungumza na wakazi wa Ushetu wakati wa mkutano wake wa kutangaza nia kuwania ubunge katika jimbo jipya la Ushetu wilayani Kahama.


Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha Bibi K” akiwajibika katika kazi yake ya uandishi wa habari.


Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha Bibi K” akiwa katika moja ya mikutano muhimu.

Na Mwandishi wetu

Siku moja tu baada ya Tume ya Uchaguzi nchini Tanzania kutangaza majimbo mapya ya Uchaguzi,Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa William Bundala maarufu kwa jina la “Kijukuu cha Bibi K” ametangaza rasmi kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Ubunge katika Jimbo la jipya la Ushetu katika halmashauri ya wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga,kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Kibiki kuchukua fomu leo...!


MWANAHABARI Frank Kibiki (kulia) anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ateuliwe kuwania ubunge wa jimbo la Iringa mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM), leo.

Kibiki anachukua fomu hiyo baada ya chama cha Mapinduzi kufungua pazia la wanaotaka kuwania ubunge kupitia chama hicho, kuanza mbio za kuchuana.

Akizungumza na wanahabari mjini Iringa, Kibiki alisema ameamua kuomba ridhaa ya chama chake kuwania nafasi ya Ubunge wa jimbo la Iringa mjini, baada ya kujipima na kuona anaweza kupeperusha bendera hiyo.

Kutangaza nia kwa Kibiki kuwania jimbo hilo, kumeonekana kubadili upepo wa kiasiasa baada ya kundi kubwa la vijana kumuunga mkono baada ya kuamua kumchangia ili aweze kutimiza adhma hiyo.

Tayari Kibiki amekabidhiwa Sh 250,000 kwa ajili ya fomu hiyo huku fedha nyingine akitarajiwa kupewa leo.

Miongoni mwa vijana wanaoongoza zoezi la kumchangia Kibiki, Maneti Charles alisema, wamemua kufanya hivyo ili kumsaidia kijana mwenzao ambaye, wanafahamu anaweza kusadia kutatua changamoto zinazowakabili wana Iringa.

MWAKALEBELA NA ADDO NOVEMBER WAJITOSA UBUNGE IRINGA MJINI...!



Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe, Frederick Mwakalebela ambaye pia ni Kamanda wa Vijana wa UVCCM Wilaya ya Iringa Mjini leo ametangaza nia kugombea tena ubunge kwa mara ya pili baada ya mwaka 2010 kutoswa na chama chaka licha ya kuongozi katika kura za maoni na nafasi hiyo kupewa kwa mshindi wa pili kura za maoni Monica Mbega na Chadema kushinda uchaguzi huo kupitia mgombea wa chama hicho wakati ule Mch. Peter Msigwa.  Mwakalebela ametoa wito kwa watia nia wenzake kupitika ticketi ya CCM kuachana na siasa za kupakana matope na badala yake wafanye siasa za kistaarabu kwa ustawi wa chama. (Picha na Friday Simbaya)


RAIS WA SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA ADDO NOVEMBER MWASONGWE ATANGAZA NIA NA KUCHUKUWA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE IRINGA MJINI KWA TIKETI YA CCM.
Ndugu wanahabari leo tarehe 15.07.2015 nimekuiteni kuwaeleza juu ya Nia yangu ya kugombea Ubunge Iringa Mjini kwa ticket ya CCM. Sababu ninayo Nia ninayo na uwezo ninao kwa wananchi wangu wa Iringa na Tanzania kwa ujumla. Natambua ya kua uongozi ni Mzigo.




Mkurugenzi wa SUN PRE & PRIMARY English Medium School CHENGULA ajitosa Udiwani

Mkurugenzi wa SUN PRE & PRIMARY English Medium School CHENGULA NGUVU EDWARD (kulia) iliyopo katika Kata ya Mwangata Manispaa ya Iringa eneo la Ngelewala akipeana mkono na Katibu Tawi Mwanaga 'C',  Machelo  Kadebe baada ya mkurungezi hiyo kuchukua fomu ya kuwania udiwani katika kata hiyo pamoja na kutia nia wakati kiongea na SIMBAYABLOG mchana leo.




Hii ni ofisi wa Kata ya Mwangata iliyokarabatiwa na Mkurugenzi wa SUN PRE & PRIMARY English Medium School CHENGULA NGUVU EDWARD pamoja kujenga choo hapo nyuma.

MWENYEKITI UWT IRINGA VIJIJINI SHAKIRA AJITOSA UBUNGE



Diwani wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa UWT Iringa Vijijini Shakira Kiwanga (katikati) akiongea na waandishi wa habari leo muda mfupi baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania ubunge viti maalum katika Mkoa wa Iringa. (Picha na Friday Simbaya)

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...