Tuesday, 30 September 2014
Tembo wa Tarangire National Park
Huwa napata faraja kuendelea kuona Nchi bado inao hawa wanyama na wapo
ambao wana meno yao. Takwimu za ujangili zinatisha kiasi cha kwamba huwa
napata hofu mwishowe nchi yetu itabaki kuwa na Tembo wasio na meno yao.
itakuwa ni sawa na kuwa na Simba asiyekuwa na sharubu. Kundi hili la
Tembo lilionekana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na Abdul ambaye
alikuwa huko kwa mapumziko mafupi.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
Habari ndugu msomaji wetu wa blog, Natumaini unaendelea vyema. Leo tutaanza kujifunza kilimo cha bora cha nyanya, na tutaanza kufahamu vit...