Tuesday, 6 December 2016

MSD YAZINDUA HUDUMA MAALUMU KWA WATEJA WAKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO



Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee naWatoto Dk. Mpoki Ulisubisya (kulia), akizungumza na viongozi mbalimbali wa sekta ya afya wakati akizindua mpango wa huduma maalumu kwa wateja wakubwa Dar es Salaam leo asubuhi.


Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Profesa Mohamed Janabi (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo. 



Meneja Huduma kwa Wateja wa MSD, Salome Malamia akizungumza katika hafla hiyo.


Mmoja wa maofisa kutoka Ofisi ya Inayosimamia Utekelezaji wa Mapendekezo ya Maboresho (SMO), Naomi Shangani akitoa maelezo kwa mgeni rasmi kuhusu mpango huo.




Na Dotto Mwaibale


BOHARI ya dawa (MSD) imezindua mpango wa huduma maalumu kwa wateja wake wakubwa, kama moja ya hatua za kuboresha huduma kwa wateja. 


Mpango huo utawawezesha wateja hao kupata huduma ya haraka zaidi pindi wanapokuwa wanahitaji mahitaji yao.


Wateja hao ni pamoja na hosipitali ya Taifa ya Muhimbili, Taasisi ya Mifupa (MOI), Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, hosipitali ya Sekoutoure Mwanza, Hosipitali ya Kibong’oto, Mirembe, Hosipitaliza Amana, Temeke, Mwananyamala, KCMC, Hospitaliya Benjamin Mkapa na Taasisi ya Moyo ya JakayaKikwete.


Akizindua mpango huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee naWatoto Dk. Mpoki Ulisubisya amesema mpango huo ni moja ya maboresho yanayofanywa na MSD, ili kuhakikisha huduma zake zinatolewa kama inavyohitajika.


Dk. Mpoki pia amewasisitiza wateja hao wakubwa wa MSD kuhakikisha wanafanya maoteo sahihi ya mahitaji yao na kuyaleta MSD kwa wakati ilikuepusha ucheleweshwaji wa taratibu za manunuzi ambao pia tasababisha dosari kwenye upatikanaji wa dawa kwa wateja. 


Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu amesema hatua ya kuwahudumia wateja hao kwa kiwango kizuri na cha uhakika itafanikiwa, hivyo Watarajie maboresho makubwa ya huduma. 

POLITICS Donald Trump Taps Ben Carson To Lead Housing & Urban Development



Carson has never held public office. The Huffington Post



President-elect Donald Trump is nominating Ben Carson, a retired neurosurgeon who has never held public office, as his secretary of housing and urban development.

In a statement released Monday, Trump called Carson a “distinguished national leader” with a “brilliant mind.”




Donald Trump will nominate Ben Carson to serve as Secretary of the United States Department of Housing and Urban Development.

Carson, who ran against Trump in the 2016 Republican primary, told Fox News last month that he was considering the position. This was a shift from his earlier assertion that he wasn’t qualified for a Cabinet position. 

Trump’s choice to nominate Carson is just the latest confirmation that he’s prioritizing loyalty over government experience. One of the president-elect’s first hirings was Steve Bannon, a former Breitbart executive with ties to white nationalists. Bannon was a close adviser to Trump during the campaign. 

He is also tapping a billionaire former coal mine owner to be commerce secretary and Hollywood financier for Treasury secretary. 

As HUD chief, Carson would be tasked with setting housing policies for the Trump administration, including access to affordable housing and community development. Carson’s comments on certain anti-discrimination policies ― he has called one plan a “mandated social-engineering scheme” ― are likely to worry some fair housing advocates.

“These government-engineered attempts to legislate racial equality create consequences that often make matters worse,” Carson wrote in a Washington Times piece last year. “There are reasonable ways to use housing policy to enhance the opportunities available to lower-income citizens, but based on the history of failed socialist experiments in this country, entrusting the government to get it right can prove downright dangerous.”

As The Daily Beast points out, as HUD secretary, “Carson would, in part, be the very person entrusted to get it right.”

MKUTANO WA KUPANGA NAMNA YA KUFANYA KUREJESHA HALI YA KIDAKIO CHA MTO LUKOSI CHINI...



Mkurugenzi wa Shirika la Mazombe Mahenge Development Association (MMDEA), Raphael Mtitu akiendesha mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha mto lukosi chini wilayani kilolo, mkoani Iringa. Shirika la TAGRODE kwa kushirikaiana na Shirika la African wildlife Foundation (AWF) linategemea kutekeleza mradi wa kurejesha hali ya Mto Lukosi katika eneo la Mahenge. (Picha na Friday Simbaya)






African Wildlife Foundation (AWF) Sustain Project Manager Pastor Magingi akijitambulisha wakati wa mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha Mto Lukosi chini wilayani Kilolo, mkoani Iringa.





Afisa wa Maji Bonde la Rufiji Idris A. Msuya akifafanua Sheria ya Mazingira ya Mwaka 2004 kuhusu mita 60 toka kingo za mito wakati wa mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha mto Lukosi chini wilayani kilolo, mkoani Iringa.


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji (W) Kilolo Jasphone Issanzu Mukungu, ambaye pia ni Afisa Mipango (W) akifungua mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha Mto Lukosi chini wilayani Kilolo, mkoani Iringa.



Mratibu wa Mipango ya Maenedeleo ya Wilaya ya Kilolo (DADPs), Moses Logan akimkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment) cha Mto Lukosi chini wilayani Kilolo, mkoani Iringa.



Mwenyekiti wa Kijiji cha Mahenge wilayani Kilolo, mkoani Iringa Saidi Muhina akitoa mawazo yake katika mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment) cha Mto Lukosi chini wilayani Kilolo, mkoani Iringa.






Mratibu wa shirika la TAGRODE Dickson Mwalubandu akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kupanga namna ya kufanya ili kurejesha hali ya kidakio (catchment)cha mto lukosi chini wilayani kilolo, mkoani iringa. Shirika la TAGRODE kwa kushirikaiana na Shirika la African wildlife Foundation (AWF) linategemea kutekeleza mradi wa kurejesha hali ya mto lukosi katika eneo la Mahenge. (Picha na Friday Simbaya)


Washiriki wa mkutano wa kupanga namna ya kufanya urejesho wa kidakio (catchment) mto lukosi chini katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya Kilolo leo,lengo likiwa ni kuapata mawazo ya pamoja. (Picha na Friday Simbaya).

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...