Sunday, 11 July 2010
FRIDAY SIMBAYA: IRINGA MUNICIPAL HOSPITAL
MWANAFUNZI WA MUCE AJITOSA KUWANIA UBUNGE MBINGA MASHIRIKI
Na Friday Simbaya,
Iringa
WANACHAMA zaidi wanatangaza nia kugombea ubunge katika majimbo kadhaa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwanachuo wa Chuo Kikuu cha
Edmund ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Elimu cha Mkwawa, Mkoa Iringa, ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Mbinga Mashariki kupitia CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari jana chuoni hapo, Nditi Edmund alisema kuwa ameamua kugombea ili kuleta maendeleo na kudai kuwa jimbo hilo linakabiliwa na matatizo mengi ikiwa ni pamoja ukosefu wa miundombinu, soko la kahawa na elimu.
Alisema kuwa endapo akishinda atafanya mambo mengi kwa shirikiana na wananchi wa jimbo
Aliongeza kuwa Wilaya ya Mbinga iko nyuma katika sekta ya kilimo kutokana na ukosefu wa zana za kilimo pamoja na pembejeo.
Jimbo
FRIDAY SIMBAYA: CHADEMA Iringa Mjini
MWANAFUNZI WA MUCE AJITOSA KUWANIA UBUNGE
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...