Saturday, 20 June 2015

Mbowe: Nitagombea tena ubunge Hai


Freeman Mbowe akihutubia umati wa wananchi wa Jimbo la Hai katika mji mdogo wa Bomang’ombe jana. Picha na Peter Saramba 

Na Peter Saramba na Rehema Matowo

Hai. Siku moja baada ya kuhukumiwa kulipa faini Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja kwa kosa la shambulio la kawaida dhidi ya aliyekuwa mwangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu uliopita, Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza kuwania tena ubunge katika jimbo hilo.

Jaji Ramadhani awavuruga wagombea urais CCM



Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu za kuomba kugombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia CCM, Dodoma juzi. Picha ya Maktaba 


Na Fidelis Butahe

Dar es Salaam. Hatua ya Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Augustino Ramadhani kujitosa kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais imewavuruga wagombea wenzake wa urais na kuibua mjadala mzito katika maeneo mbalimbali nchini.


Mitandao ya kijamii ilijaa mijadala inayohusu kuingia kwake katika kinyang’anyiro hicho, huku baadhi ya wapambe wa wagombea wakieleza wazi kukatishwa tamaa na mgombea huyo ambaye wasifu wake unaonyesha ana sifa za ziada zaidi ya baadhi ya wagombea.

MWIGULU: NTAKOMESHA UTENDAJI KAZI WA KIMAZOEA NI KIWA RAIS

Ayelikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba (katikati) ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi akipeana mikono na Mwenyekiti CCM Iringa Mjini Abeid Kiponza baada ya kukabidhiwa orodha ya majina ya wadhamini waliofika kumdhamini mkoani Iringa jana usiku. Anayeshudia ni Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa CCM Jesca Msambatavangu (kulia). 

Ayelikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi akishuhudia mmoja wa wadhamini akitia saini kwenye fomu za udhamini mjini jana usiku alipofika kusaka wadhamini mkoani Iringa akitokea mkoani Njombe.

Wanachama waliofika kumdhamini ayelikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi wakishangilia wakati akihutubia  usiku ja mjini. Nchemba alikuwa mkoani Iringa kusaka wadhamini akitokea mikoa ya Ruvuma na Njombe.

Ayelikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi akihotubua wanachama waliofurika ukumbini ofisi kuu ya CCM Iringa Mjini  kumdhamini mkoani Iringa jana usiku. 

ZIMBABWE TOURISM ON THE RIGHT TRACK


Chief Executive of Zimbabwe Tourism Authority (ZTA), Karikoga Kaseke (Centre) briefing the International buyers who are attending the 8th edition of the Sanganai/Hlanganani–World Tourism Expo which is taking place in Harare International Conference Centre. Others from left is Mr. Wengayi Nhau the Representative from Zimbabwe Council for Tourism (ZCT ) , Executive Director Destination Marketing, Mr. Manjengwa Jefferies, Chief Operating Officer, Mr. Givemore Chidzidzi and Head of Africa & Middle East of Zimbabwe Tourism Authority, Ms. Praise Gurumani Mazhandu.(All photos by Zainul Mzige of modewjiblog)

By modewjiblog team, Harare

The Zimbabwe Tourism Authority (ZTA) has a mandate of marketing Zimbabwe as a tourism destination boasts its success in the tourism industry, by saying that last year the sector contributed 11 percent of the GDP.

On top of that the Authority has confidence that by the year 2020 they will be contributing 15 percent.

Fastjet yafadhili ziara ya waandishi wa habari wa Tanzania nchini Zimbabwe



Pichani ni Mhudumu wa Mapango ya Chinhoyi Cephas Sithole akitoa maelezo kwa timu ya waandishi wa habari waliombatana na wadau wa utalii kutoka nchini Afrika Kusini kwenye ziara hiyo ya kutembelea vivutio vya utalii nchini Zimbabwe katika mapango Chinhoyi.(Picha zote na Zainul Mzige).

Na Modewjiblog team, Harare

Waandishi wa habari kutoka vyombo 5 vya habari vya magazeti ya Tanzania ikiwemo mtandao wa habari wa modewjiblog ambao ni Justin Damiana (The African), Frank Aman (The Guardian), Zainul Mzige (modewjiblog), Mariam Said (Daily News) pamoja na Timothy Kitundu (East Africa Business Week) walipata mwaliko kutoka Mamlaka ya Utalii ya Zimbabwe (ZTA) kufanya utalii katika mapango ya Chinhoyi, Ziwa Kariba, Shamba la ufagaji wa Mamba, Hifadhi ya Taifa ya Kariba, Bandari ya Zambezi pamoja na ukuta wa bwawa la Kariba unaotengenisha nchi ya Zambia na Zimbabwe.

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...