Tuesday, 2 October 2012

ST.AUGUSTIN UNIVERSITY OF TANZANIA-SONGEA BRANCH.

ST.AUGUSTIN UNIVERSITY OF TANZANIA-SONGEA BRANCH!
HII NI KAMPUS YA PERAMIHO KWA MASOMO YA MEDICINE ILIYOPO HUKO PERAMIHO KATIKA KIJIJI CHA MOROGORO WILAYANI SONGEA KATIKA MKOA WA RUVUMA. (PICHA NA OSWALD JOHN GERMANA NGONYANI)

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...