Monday, 2 March 2015
WARSHA KWA WADAU WA MRADI WA UPATIKANAJI, MATUMIZI NA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA MAJI!
Allain Charles mhasibu wa WWF-Iringa akitoa utaratibu wa uwezeshaji wakati kwa warsa kwa wadau wa upatikanaji, matumizi na usimamizi wa rasilimali za maji katika hali endelevu Ruaha unaoendelea katika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe leo.
Afisa Maji Ofisi ya Maji Bonde la Rufiji (RBWB) Idris Abdallah Msuya akitoa ufafanuzi juu ya warsha kwa wadau wa upatikanaji, matumizi na usimamizi wa rasilimali za maji katika hali endelevu Ruaha unaoendelea katika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe leo.
Mhadhiri kutoka Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini -Dodoma, Andrew Komba akitambulisha ratiba kwa wadau wakati wa warsha kwa wadau wa upatikanaji, matumizi na usimamizi wa rasilimali za maji katika hali endelevu Ruaha unaoendelea katika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe leo.
Mchoraji maarufu kutoka Dar es Salaam Rashid Mbago akimtambulisha Afisa Elimu ya Mazingira kutoka WWF Ruaha Water Program, Mwamini Masanja kwa wadau wakati wa warsha kwa wadau wa upatikanaji, matumizi na usimamizi wa rasilimali za maji katika hali endelevu Ruaha unaoendelea katika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe leo. Utaratibu ni kwamba unamtambulisha mwenzako na mwenzako na kutambulisha wewe.
Kutoka kushoto ni mwandishi wa StarTV Njombe, Mercy Sekabogo, Mhariri wa habari Ebony FM Rashid Chilumba, Mwandishi wa Channel Ten Mbeya, Rose Chapewa, Mwandishi wa ITV/RadioOne Mbeya, Festo Sikagonamo na Friday Simbaya wa The Guardian Iringa wakati wa warsha kwa wadau wa upatikanaji, matumizi na usimamizi wa rasilimali za maji katika hali endelevu Ruaha unaoendelea katika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe leo.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...