Wednesday, 6 October 2010
JAMANI, JAMANI AJALI HIZI ZITATUMALIZA
Basi la kampuni ya Hood lenye nambari za usajili T249 ARU likiwa limepinduka katika barabara kuu ya Iringa -Mbeya (Tanzam) eneo la Viwengi Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, basi hilo lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya na katika ajali hiyo watu zaidi ya 20 wamejeruhiwa japo hakuna hata mmoja aliyepoteza maisha katika ajali hiyo. Thanks God it has not killed anyone but sorry for injured persons, still we need to control this kind of accidents in future by put up stiff punishment to drivers who wreckless and overspeeding.
LIVE IN SONGEA
Ikiwa ni jua kali mchana leo, wakina mama wakiwa wamepanga biashara yao ya dagaa wakutoka Ziwa Nyasa ndani ya stendi kuu ya mabasi katika Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma wakisubiria wateja wakinunua, ambapo kilo moja ya dagaa hao walikuwa wanauuza kwa shilingi elfu moja na mia tano (1,500/-). Mabasi na magari yanayotumia kituo hicho hupita kwa shida sana kutokana na wafanyabiashara mbalimbali wakiwemo wanaouuza chai na vya chakula kupanga biashara zao sehemu ya kupitia magari kama inavyoonekana katika picha.
Sehemu ya 'shamba la wafu' walipozikwa masista na mapadre wakizungu kwa miaka ya nyuma sana katika makaburi yaliyopo karibu na Kanisa Kuu la Katoliki ya PeramihoWilayani Songea yakionekana kuzungushiwa 'wire fence' ni moja ya vivutio vya utalii katika Mkoa Ruvuma. Makaburi haya yana historia ndefu ya umisionari wa katoliki pamoja na mambo ya kadha wa kadha. Hebu jaribu kuyatembelea siku moja utashangaa mwenyewe.
Mmoja ya masista wa Kanisa Katoliki ya Peramiho wilayani Songea akielekea kusali katika makaburi huyo kuwaombea marehemu, upande wa kushoto wa makaburi hayo wamezikwa masiasta na na upande wa kulia ni mapadre.
Aramba, aramba hamu, hamu, Muuza barafu akionekana na chombo chake kubebea barafu huku akisaka wateja wake katika stendi ya mabasi mjini Songea, kutokana na jua kali watu wengi upenda kula barafu ili kujipoozesha miili yao.
Mkazi mmoja wa Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma akipita karibu na banda la kuegesha baiskeli na pikipiki lilipo nje ya majengo Hospitali ya Misheni ya Peramiho 'ST. JOSEPH'S MISSION HOSPITAL' asubuhi ya leo. Baiskeli na pikipiki hizo ni za watu wanaokuja kuaangalia wagonjwa hospitalini hapa na zingine ni za wafanyakazi wa hospitali hiyo . Hivi karibuni Rais wa Jumuhuri ya Tanzania Jakaya Kikwete alitangaza kuwa hospitali ya mission Peramiho ni moja ya kati ya hospitali nchini zitakazo pansha hadha yahospitali ya rufani.

Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...