Sunday, 28 January 2018

ROTARY CLUB OF IRINGA DONATES TREE SEEDLINGS TO IRINGA GIRLS SCHOOL






By Friday Simbaya, Iringa 

The Rotary Club of Iringa has planted more than 134 fruit trees and donated to Iringa Girls Secondary School as an ambitious strategy to plant trees in various schools for preserving planet earth. 

The planting exercise at the school was headed by the president rotary club of Iringa Miraji Vanginothi in collaboration with Iringa District Commissioner Richard Kasesela. 

The program of planting trees is their club program to preserve the environment hence protecting the planet earth from environmental degradation. 

Iringa district commissioner Richard Kasesela who is also the rotaian said people should build a culture of looking after and helping other people so that their can live happily in their lives. 

Kasesela gave the statement yesterday while speaking at a plant planting ceremony at Iringa Girls' Scondary School. 

The planting exercise at the school was organized by the Rotary Club of Iringa, which included the students from form five (5) and six (6) with school leadership. 

“The heart of Rotary is our members, dedicated people who share a passion for community service and friendship,” said DC Kasesela. 

Kasesela urged students of the school and young people to build a culture of doing something to help others and that by doing so they would be building their own ability to do good. 

“You're born of someone else, you've been welcomed by someone else, you're going to be married to someone else, will be married to someone else and will be buried by someone else so everyone doing for someone else our country and the world will generally be peaceable, "he said. 

Initially speaking in the exercise, the President of the Rotary Club of Iringa Miraji Vanginothi thanked the people who had showed up for planting trees in the school area and asking for the leadership and pupils to take care for trees and for also the next the generation. 

"We have climbed your roles to ensure that you care for the future generation, the trees are for the conservation of the trees," said Vanginothi. 

In turn, the headmistress Blandina Nkondola thanked the Rotary Club of Iringa for the decision to plant trees in the school and promise to keep it. 

"Thank you very much for your social support, we are pleased with your patriarchal intentions for the purpose of addressing our environment and just guaranteeing that we will keep these trees" she said.

MWIGULU NCHEMBA AONGOZA JAHAZI KINONDONI...



Viongozi wa CCM wakiwa meza kuu wakati wa kumnadi mgombea wao.

MBUNGE wa Iramba Magharibi, Singida, Mwigulu Nchemba ameongoza jahazi la makada, wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uzinduzi wa kampenzi za uchaguzi mdogo wa ubunge kwa jimbo la Kinondoni.

Katika uzinduzi huo ambao umefanyika katika Viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam, CCM wamemnadi Maulid Mtulia na kuwaomba wananchi wa Kinondoni wampe kura za kutosha ili aweze kuwawakilisha vilivyo bungeni ikiwa ni pamoja na kutatua kero zao, kushirikiana na serikali katika kuleta miondombinu ya maendeleo kwa jimbo hilo.




“Msije mkaenda kupiga kura ya uchaguzi mdogo kwa kiwango kidogo, mkapige kura kwa kiwango cha uchaguzi mkuu, kila mmoja akawe kampeni meneja wa mgombea wetu, aje na wapiga kura siku ya kupiga kura.

“Sababu zote za msingi za ushindi tunazo sisi, wao wamebaki na neno moja tu kwamba ameama kwa nini?” alisema Mwgulu wakati akiwasihi wananchi kumpigia kura Mtulia.

HIVI NDIVYO CHADEMA WALIVYOTIKISA KINONDONI


VIONGOZI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wamemuombea ridhaa ya kupigiwa kura na wananchi, Katibu Mkuu wa chama hicho kwa upande wa Zanzibar, Salum Mwalimu anayewania ubunge wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Prof Jay: 
“Uwezo na sera za Mtulia tunazijua, nawzaa kutumia maneno makali lakini huo ndiyo ukweli, amewadharau sana watu wa Kinondoni. Tanzania nzima itatushangaa na tutakuwa tumeidharirisha Demokrasia, bora kuzungumza mengine kuliko habari za Mtulia.”


Ester Matiku.
“Inawezekana kabisa 2015 tulimchagua Mtulia kimakosa, Bwana amemfuata pepo la kujiuzulu, tumeletewa Salum Mwalimu. Februari 17, 2018 itakuwa ndiyo mwisho wa kuchagua watumishi wasaliti, tukampigie kura Mwalimu.”

MNEC SALIM ASAS AHIDI MAKUBWA KWA UWT WILAYA YA IRINGA



Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) MNEC Salim Abri (Asas) akihutubia mkutano wa baraza la umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Iringa vijijini jana na kuahidi kuchangia shilingi milioni tano kila mwaka katika mpango kazi wa UWT wa miaka mitano (5) 2018-2022 wa umoja huo. Aliyeketi kushoto kwake ni mwenyekiti wa UWT wilaya Iringa Lena Kongole. (Picha na Friday Simbaya)



ROTARY CLUB OF IRINGA YAPANDA MITI 134 YA MATUNDA KATIKA SHULE YA IRINGA GIRLS


Rais wa Rotary Club of Iringa Miraji Vanginothi akiongoza zoezi la upandaji miti katika shule ya wasicahna ya Iringa (Iringa Girls) liliandaliwa na Kikundi cha Rotary Club tawi la Iringa kazi hiyo ikishirikisha wanafunzi wa kidato  cha tano na sita na uongozi wa shule siku ya jumamosi, ambapo zaidi ya miti ya matunda 134 ilipandwa. (Picha na Friday Simbaya)

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya wasicahna ya Iringa (Iringa Girls) wakishiriki zoezi la upandaji miti katika shule hiyo liliandaliwa na Kikundi cha Rotary Club tawi la Iringa kazi hiyo ikishirikisha wanafunzi wa kidato  cha tano na sita na uongozi wa shule siku ya jumamosi. (Picha na Friday Simbaya)


Rotary Club of Iringa imepanda miti ya matunda zaidi ya 134 katika ya wasichana ya iringa (Iringa Girls Secondary School) ikiwa mkakati kabambe wakupanda miti katika shule mbalimbali mkoani hapa. 

Zoezi la upandaji miti katika shule hiyo iliongozwa na rais wa rotary club of iringa Miraji Vanginothi kwa kushirikiana na MKUU wa Wilaya Iringa Richard Kasesela. 

MKUU wa Wilaya Iringa Richard Kasesela amesema kama watu watajenga utamaduni wa kuwaangalia na kuwasaidia watu wengine wataishi kwa furaha katika maisha yao. 

Kasesela ametoa kauli hiyo jana wakati alipokuwa akizungumza kwenye hafla ya upandaji miti katika shule ya Sekondari ya wasichana ya Iringa (Iringa Girls). 

Zoezi la upandaji miti katika shule hiyo liliandaliwa na Kikundi cha Rotary Club tawi la Iringa kazi hiyo ikishirikisha wanafunzi wa kidato cha tano nasita na uongozi wa shule. 

"Ngoja niseme mambo mawili,kwanza ukiwa Rotarian ni kumuungalia mwenzako,hilo ndo jambo la Msingi,ni jumuiya ya kimatifa na kikibwa ni kujitolea"alisema Kasesela. 

Kasesela aliwataka wanafunzi wa shule hiyo pamoja na vijana kujenga utamaduni wa kufanya jambo kwa lengo la kusaidia wengine na kwamba kwa kufanya hivyo watakuwa wamejijengea uwezo wa kutenda mema. 

"Hata leo tunapanda miti ,hii miti si kw aajili yetu ni kw aajili ya watu wengine,ndio sababu mi mara nyingi ninasema nivema kila unalofanya ufanye kwa ajili ya mwingine: 

:Umezaliwa na mtu mwingine,umepokelewa na mtu mwingine,utalelewa na mtu mwingine,utaolewa na mtu mwingine na utazikwa na mtu mwingine hivyo kila mtu akifanya kwa ajili ya mtu mwingine nchi yetu na dunia kwa ujumla itabaki kuwa na amani"alisema. 

Awali akizungumza katika zoezi hilo Rais wa Rotary Club Tawi la Iringa Miraji Vanginothi aliwashukuru watu waliojitolkea kupanda naa miti katika eneo la shule hiyo na kuutaka uongozi w ashule na wanafunzi kuitunza kwa faida yao na kizazi kijacho. 

"Tumepanda miti jukumu lenu ni kuhakikisha mnaitunza kwa aajili ya kizazi kijacho,miti niu kwa ajili ya kutunza mazingira miti ni kw aajili ya maatunda"alisema Vanginothi. 

Kwa upande wake Mkuu wa shule ya hiyo Blandina Nkondola alishukuru Rotary Club tawi la Iringa kwa uamuzi w akupanda miti katika shule hiyo na kuahidi kuitunza. 

"Tunawashukuru sana kwa msaada wenu wa kijamii,tumefurahishwa na uamzui wenu wa kizalenda wwenye lengo al kutunz amazingira yetu na tuwahakikishei tu kwua tutaitunza hii miti"alisema,Nkondola.

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...