Saturday, 14 March 2015
KAULI YA KADINALI PENGO JUU YA JUMUIYA YA KIKRISTO KUHAMASISHA WAUMINI KUIPINGA KATIBA
"Maaskofu hatuna mamlaka ya kuwaamlia / Kuwalazimisha Waumini Wetu Wafanye Uamuzi Gani Kuhusu Katiba, Kuwaamulia ni Kuwadharau Kuwa Hawawezi Kufanya Uamuzi Sahihi Wao Wenyewe Na Kuingilia UHURU Wao.
Katibu Mkuu Dk. Slaa ziarani wilayani Kahama, Shinyanga
Katibu Mkuu wa Chama, Dk. Willibroad Slaa anatarajiwa kufanya ziara katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga kwa ajili ya shughuli za kijamii ambapo pia atapata fursa ya kukutana na wananchi kwa ajili ya masuala ya ujenzi wa chama.
Katika ziara hiyo itakayofanyika Jumamosi ya Machi 14, mwaka huu, Katibu Mkuu atafika katika Kijiji cha Mwakata, wilayani Kahama, kuwajulia hali na kuwapatia pole wananchi waliopatwa na janga la mvua kubwa ya mawe hivi karibuni, hali iliyosababisha vifo vya watu, majeruhi na uharibifu mkubwa wa mali na makazi.
Katibu Mkuu pia atapata fursa ya kuzungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika eneo la Isaka, Jimbo la Msalala, wilayani Kahama. (CHANZO: CHADEMABLOG)
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...