Sunday, 29 August 2010

WACHAMA WA CCM WARUDISHA KADI ZAO

Ikiwa nis siku moja ya uzinduzi wa kapeni za uchaguzi ndani ya chama cha CHADEMA kitaifa jana, wanachama zaidi ya 10 warejesha kadi zao na kujiunga na CHADEMA mjini Iringa leo katika uzinduzi wa kapeni za uchaguzi Mkoa wa Iringa. Mgombea ubunge  wa Mjini Iringa Mch. Peter Msigwa akizionyesha kadi hizo kwa umati iliyo kuwepo katika Viwanja vya Mwembetogwa leo.

NYUMBA KARIBU NA SHULE WAPI NA WAPI

Kijumba kimejengwa karibu kabisa na Shule ya Msingi ya Mshikamano iliyopo katika Manispaa ya Iringa, Mkoa wa Iringa.Wakazi wanaoishi hapa karibu kabisa na shule wamegoma kuhama maeneo hayo kutokana kutolipwa fidia na wizara ya elimu Manispaa ya Iringa imedaiwa.

UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA IRINGA ZAZINDULIWA

maelfu ya wanachama wa chama cha mapinduzi ( CCM )  wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa kampeni za chama hicho mkoani iringa jana. aliyekuwa makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (katikati) John Malecela na bw. paul kimiti (kulia) wakifuatilia burudani za wachekeshaji maarufu nchini Tanzania Ze Comedy katika ufunguzi wa kampeni za CCMmkoani Irin ga hapo jana.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) in Iringa Region appealing to residents of Iringa who are eligible voters to vote for CCM in the forthcoming general elections come October this year so that finish work that not yet complete in the first five years of the fourth administration.
Speaking on Saturday on the launching of CCM election campaigns in Iringa region l, the Permanent Executive Member for CCM-NEC and CC, John Samuel Malecela said that people vote for CCM party to form the fifth (5) government hence sustainable social and economic development.
The former member of parliament, argued that people should nor hesitate to give CCM votes because what is the CCM Election Manifesto 2010-2015 has outlined major things that the party and its government will implement.
In the fifth government, they have outlined five (5) things that will be implemented and given priorities hence improvement of the standard of living of people hence poverty reduction.


Those priorities include education, health, agriculture, infrastructures like roads in rural areas so that farmers can take their produce to the market, and also the improvement of social services like water, electricity, small and medium enterprise (SME) and also communication and transport.
“If we are given other chance this coming election in October we shall make sure we implement the five areas that is in the election manifesto for the betterment our people, we also continue strengthen peace and tranquility and implement the rule of law for the good governance,” Malecela said.
On the issue of corruption and ‘ufisadi’, Malecela said that government will continue taking to culprits the court of justice, and the people that are involved in both grand corruption and ufisadi are found guilt they will persecuted.
“We are the government that follow rule of law and good governance, since there three state organs such as the executive, legistrature and judiciary, so three state organs are independent,” he emphasized.

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...