Sunday, 29 August 2010

NYUMBA KARIBU NA SHULE WAPI NA WAPI

Kijumba kimejengwa karibu kabisa na Shule ya Msingi ya Mshikamano iliyopo katika Manispaa ya Iringa, Mkoa wa Iringa.Wakazi wanaoishi hapa karibu kabisa na shule wamegoma kuhama maeneo hayo kutokana kutolipwa fidia na wizara ya elimu Manispaa ya Iringa imedaiwa.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...