Sunday, 29 August 2010

WACHAMA WA CCM WARUDISHA KADI ZAO

Ikiwa nis siku moja ya uzinduzi wa kapeni za uchaguzi ndani ya chama cha CHADEMA kitaifa jana, wanachama zaidi ya 10 warejesha kadi zao na kujiunga na CHADEMA mjini Iringa leo katika uzinduzi wa kapeni za uchaguzi Mkoa wa Iringa. Mgombea ubunge  wa Mjini Iringa Mch. Peter Msigwa akizionyesha kadi hizo kwa umati iliyo kuwepo katika Viwanja vya Mwembetogwa leo.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...