Wednesday, 15 October 2014
Wapinzani wakimdharau Kinana, CCM itashinda kirahisi 2015
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Abdulrahman Kinana akiulizwa swali na mmoja wanachama wa chama hicho mjini Iringa hivi karibuni. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amekamilisha awamu
nyingine ya ziara zake mikoani. Katika awamu hii, alitumia siku 28
kutembelea mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa.
MKE wa mtu sumu , kikongwe afanya mauaji ya kihistoria Iringa
Picha namba 01 Wananchi wakiwasikiliza mke wa
mtuhumiwa wa mauwaji Bi Melea Mtwanga
akiwa na mtoto wake Manet Mtalima ( kushoto) wakati
wakizungumza na mwandishi wetu
(hayupo pichani) nje ya eneo la tukio.
Mke
wa mtuhumiwa wa mauwaji Bi Melea
Mtwanga akiwa na mtoto wake Manet Mtalima.
Picha namba 02 mtuhumiwa wa mauwaji Gwalino Ganga akiwa na mkewe Melea
Mtwanga.
Na Francis Godwin, Iringa
MKE ama mume wa mtu
ni sumu si neno jipya katika vinywa
vya wengi japo baadhi yetu
tumekuwa tukichukulia juu juu neno ila
kwa wakazi wa kijiji cha Mbigili kata ya
Mazombe wilaya ya Kilolo wameamini kuwa lina ukweli ndani yake baada ya kikongwe
wa miaka 70 kumtwanga risasi mbili kijana ambae alimtuhumu kuingilia ndoa yake
kwa kuvunja amri ya sita na mama watoto
wake.
Mbali
ya kijana huyo Thadei Mbugu(40)ambae ni marehemu kudaiwa kujihusisha
kimapenzi na mke wa
kikongwe huyo Gwerino bado inaelezwa kuwa chanzo cha mauti yake
alijisababishia kutokana na maneo ya dharau ambayo alikuwa akiyatoa
mbele ya watu
waliokuwa wakinywa pombe katika klabu cha pombe za kienyeji kilichopo
nyumbani kwa mtuhumiwa
huyo wa mauwaji ambacho kinaendeshwa na mke wa mtuhumiwa huyo wa
mauwaji.
NGUMI ZILIVYOPIGWA TANDIKA
Bondia Azizi Rashid kushoto akipambana
na Azizi Abdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa
musoma bar tandika maguruwe Abdallah alishinda kwa point mpambano uho
picha na SUPER D BLOG
Bondia Hassan Rajabu kushoto
akipambana na Said Wigo wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi
wa musoma bar tandika maguruwe mpambano huo ulisha kwa droo picha na SUPER D BLOG
HIZI NI NCHI AMBAZO RAIA WA TANZANIA HAHITAJI VISA KWENDA
Zifuatazo ni nchi ambazo raia wa Tanzania anaweza kwenda bila kuwa na visa.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...