Tuesday, 6 March 2018

Soko la Mbagala Rangi tatu lateketea kwa moto



Soko la Mbagala Rangi tatu maarufu kama Kampochea limeteketea kwa moto alfajiri ya leo. 
Mwenyekiti wa Soko hilo, Mohamedy Njiwa ametaja chanzo kuwa ni hitilafu ya umeme kwenye mabanda ya soko hilo. #MwananchiUpdates#MwananchiLeo

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...