Friday, 3 November 2017
AMREF YAZINDUA MRADI WA HAMASA KATIKA UZAZI WA MPANGO KWA MIKOA 24
Mfamasia wa kitengo cha afya ya uzazi na Mtoto kutoka Wizara ya Afya, Wanawake, Jinsia na Watoto, Machumu Mayeye akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa Hamasa na Tiba kwa Afya ya Uzazi na Uzazi wa Mpango, uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi mkazi wa Amref Health Africa, Dk. Florence Temu akizungumza wakati wa Uzinduzi wa mradi wa Hamasa na tiba kwa ajili ya Uzazi wa Mpango kwa mikoa 24 nchi nzima ili kuweza kusaidia sekta ya Afya kwa msaada wa Serikali ya Uholanzi.
Mfamasia wa kitengo cha afya ya uzazi na Mtoto kutoka kutoka Wizara ya Afya Wanawake jinsia na Watoto, Machumu Mayeye akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa masuala ya afya ya uzazi na mtoto.
Meneja mradi wa Masuala wa hamasa na Tiba kwa afya ya Uzazi na Mtoto kutoka Amref Africa, Dk. Sarafina Mkuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wadau walioshiriki katika Uzinduzi wa mradi wa Hamasa na tiba kwa ajili ya Uzazi wa Mpango kutoka kwa Amref Afrika kwa msaada wa Serikali ya Uholanzi.
Baadhi ya Wadau walioshiriki wakati wa Uzinduzi wa mradi wa Hamasa na tiba kwa ajili ya Uzazi wa Mpango kutoka kwa Amref Afrika kwa msaada wa Serikali ya Uholanzi.wakiwa katika picha ya pamoja.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...